Kupitia ujumbe aliopost kupitia Insta story yake aliandika hivi:

“Bila Tuzo Tanzania ni sawa na kujitekenya na kucheka mwenyewe na kutumia nguvu kuwaaminisha Watu kuwa wewe ni bora au Muziki wako ni bora zaidi, ngumu kujua kazi zako zina mapokezi gani maana wanaojirekodi video na kukutumia ni Mashabiki zako, wale ambao sio Mashabiki zako Mtazamo wao huujui”

“Tuzo ni kipimo cha Msanii yeyote Duniani kujua wapi umelegeza ili Next ukaze ukikosa, zinakufanya ujitambue na ujue level yako, pia zinatia moyo na hamasa ya kufanya kazi, siongeagi sana ila inahuzunisha, tunahitaji kuwa na Tuzo za Muziki Tanzania, zisimamiwe na BASATA”

The post Harmonize aitupia lawama Basata kuhusu suala la tuzo za wasanii ‘Tunaomba muanzishe tuzo’ appeared first on Bongo5.com.