The African Princess NANDY athibitisha uwepo wa kolabo yake na mfalme wa muziki wa Bongo Fleva KING KIBA

Nandy amethibitisha hilo wakati akijibu maswali ya mashabiki kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo shabiki mmoja alimuuliza kama ana ndoto za kufanya kolabo na Alikiba. Nandy alimjibu "Tunayo tayari"