Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza limekuwa na jumla ya wajumbe 751 waliopiga kura za maoni ili kumchagua mtu atakayepeperusha bendera ya CCM Uchaguzi Mkuu 2020


Katika kura hizo zilizopigwa, Dkt. Charles Tizeba na Eric Shigongo wamepata kura sawa 354. Yaani nafasi ya kwanza imechukuliwa na wote wawili kutokana na kuwa na idadi sawa ya kura

The post Eric Shigongo, Dkt. Charles Tizeba ngoma droo kura za maoni Buchosa Mwanza appeared first on Bongo5.com.