Msanii wa muziki Diamond Platnumz ametangaza show ya kwanza ya wasanii wa label ya WCB ikiwa ni miezi kabdaa toka janga la corona liibuke na kusababisha mambo mengi kusimama.

Rais huyo wa WCB amekutana na Ali Babu promoter mkubwa na Tanga na kueleza kwamba amekubaliana na Diamond kwamba Mbosso atafanya show yake ya kwanza mkoani Tanga.

Diamond amesema kama promoter huyo ataongeza dau basi na yeye yupo tayari kufanya show mkoani humo.

The post Diamond atangaza show ya kwanza ya msanii wa WCB ‘Wakiongeza dau na mimi nitakuwepo'(Video) appeared first on Bongo5.com.