Msanii ghali wa muziki @diamondplatnumz amesema kila msanii wa lebo ya WCB ana promotion yake kulingana na wakati wake.
Muimbaji huyo amesema hata wakati wanamtambulisha @harmonize_tz walitumia gharama kubwa kwa wakati huo .
The post Diamond afunguka sababu ya kutumia nguvu nyingi kwa Zuchu (Video) appeared first on Bongo5.com.