Hasna Mwilima amefanikiwa kuongoza katika kura za maoni katika Jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM kwa kupata kura 273 huku nafasi ya pili ikishikiliwa na Nashon Bidyanguze aliyepata kura 143.

Aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe David Kafulila amepata kura 64.
_________
Matokeo
 
1.Hasna Mwilima: 273
2.Nashon Bidyanguze: 143
3.January Kizito: 117
4.David Kafulila: 64