“Kwa kawaida unapopeleka DC kwenye Miji mikubwa kama Dar es Salama, huyu Chogelo ana experience ya kupitiliza, naomba niseme Ilala inamfaa sana, na amefanya kazi zake vizuri ana miaka 56 ni lazima upeleke Ilala mtu Mature wa kufanya kazi” – Rais Magufuli
The post Chogelo, Ilala inamfaa sana, ni lazima upeleke mtu Mature wa kufanya kazi -Rais Magufuli (+Video) appeared first on Bongo5.com.