Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametangaza rasmi kubadilisha jina la Uwanja wa Taifa kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuenzi kazi kubwa aliyoifanya kufanikisha ujenzi wake.

The post BREAKING: Rais Magufuli atangaza rasmi kuubadili jina uwanja wa taifa na kuwa uwanja wa Benjamin Mkapa (+Video) appeared first on Bongo5.com.