Msanii Webiro Wassira maarufu kwa jina la Wakazi leo amechukua fomu ya kuwania Ubunge kwenye Jimbo la Ukonga Dar es salaam kwa ticket ya Chama cha ACT Wazalendo.