Watu Watatu wamefariki dunia akiwemo Katibu Tawala (DAS) wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Mwalimu Boniface Maiga Jumaa baada ya magari mawili kugongana mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Dodoma, SACP Gilles Muroto amethibisha.