Mwaka 2015 nilikuwepo kwenye kinyanganyilo Mbeya Mjini mara hii nimehamia Lupa Chunya Mbeya nimempisha Dada yetu.
Huku Chunya ndo home kata ya Chalangwa na nimewekeza sana kwenye Migodi ya dhahabu, Plant za kuchenjua dhahabu na Elusion za Kuchoma dhahabu
Lilikuwa ni zoezi la urudishaji fomu kwa habari zinginezo kaa nasi Tujuzane App

