Rais John Magufuli amemteua Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akichukua nafasi ya Paul Makonda. 

Kunenge kabla ya uteuzi huo alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam.