Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Daniel Maarifa akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa utoaji na urejeshaji wa mkopo kwa wananchi waliotembelea Banda la HESLB katika maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakisoma fomu vipeperushi na fomu zinazohusiana na utaratibu wa utoaji na urejeshaji wa mkopo wakati walipotembelea Banda la HESLB katika maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
 Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Daniel Maarifa akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa utoaji na urejeshaji wa mkopo kwa wananchi waliotembelea Banda la HESLB katika maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
 Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Daniel Maarifa akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa utoaji na urejeshaji wa mkopo kwa wananchi waliotembelea Banda la HESLB katika maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

 Afisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bi. Dorica Salvatory akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa utoaji na urejeshaji wa mkopo kwa wananchi waliotembelea Banda la HESLB katika maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
 Afisa Mawasiliano Mkuu wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bi. Veneranda Malima akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. Abdul-razaq Badru wakati alipotembelea Banda la Ofisi hiyo katika maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
 Afisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ya Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Tuli Madhehebi akitoa ufafanuzi kwa Bw. Said Mohamed ambaye ni mnufaika wa Mkopo unaotolewa na HESLB kuhusu utaratibu wa utoaji na urejeshaji wa mkopo kwa wananchi waliotembelea Banda la HESLB katika maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Maafisa kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakitoa ufafanuzi kwa wananchi mbalimbali ambao ni wanufaika wa Mkopo unaotolewa na HESLB kuhusu utaratibu wa utoaji na urejeshaji wa mkopo kwa wananchi waliotembelea Banda la HESLB katika maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA HESLB)