Msanii wa muziki Billnass ameeleza sababu ya ndoa yake na muimbaji Nandy kuchelewa kufunga baada ya valishana pete miezi miwili na nusu iliyopita. Rapa huyo amedai kwa sasa kuna mambo yakiuchumi anayaweka sawa ili akimuoa mrembo huyo aishi maisha kama malkia.

The post Billnass afunguka kilichokwamisha ndoa yake na Nandy “Najipanga, Nandy anatakiwa kuishi kama malkia” Video) appeared first on Bongo5.com.