@barakahtheprince_  -  Watu Wengi Tunaishi katika Hisia Za Uoga Na sio Nidhamu,Nidhamu Na Uoga Ni Vitu Viwilli Tofauti sana"Muogope Sana Mtu Anaetangaza wenzake Hawana Nidhamu Kwani Huyo Anapenda UMUNGU MTU...Kamwe Sitakuja Kumvunjia Mtu Heshima Ila Pia Sitamuogopa Mtu Anaeingia Mipaka ya maisha yangu"Be Coz I Know My Self sijawahi kuwa Natatizo kwa Mtu bila kuleta Tatizo kwangu So kuna Jambo nakuja kuliweka Wazi hivi Karibuni"Maana wanachokonoa Wenyewe Nikichokonoa Mimi naonekana Sina Nidhamu Siwezi Mkalia Kimya Mtu Anaeniumiza Na kuendelea Kuumiza Mipango Yangu Bila sababu ya msingi kama vile nimemchukulia Mke wake. 


JESHI La Mtu Moja Sitegemei Chochote Zaidi ya Alieniumba Tu..Kuwa na Heshima Uheshimiwe Kunyenyekea Wapuuzi ndio Mtihani Nilishindwa Tangu Tumboni kwa  Mama Yangu.#TUTAHESHIMIANA Click Link In My Bio 🤞🏿.