Meneja wa Diamond na WCB, @babutale mapema leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Mkuyuni Morogoro kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.

The post Babu Tale achukua fomu ya Ubunge Mkuyuni, Morogoro appeared first on Bongo5.com.