Kauli ya @officialbabalevo kuhusu @officialshilole kupigwa na mume wake @uchebe1 na kutangaza kuachana nae.

 BABALEVO: SHILOLE NA UCHEBE BORA WAACHANE, AMEMNG’OA PUA PICHA ZINGINE HAJAPOST Kauli ya @officialbabalevo kuhusu @officialshilole kupigwa na mume wake @uchebe1 na kutangaza kuachana nae. Wewe una maoni gani kuhusu vitendo alivyofanyiwa @officialshilole Unahisi hatua gani sahihi zinatakiwa kuchukuliwa Kwa wanaume wa aina hiyo…?