Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na Uzima Josephat Gwajima ametangaza Nia ya kugombea ubunge wa Kawe kwa tiketi ya chama Cha mapinduzi CCM. Askofu Gwajima leo pia amefika katika ofisi za CCM Kawe kupatiwa maelekezo yote ya msingi.