Aliyewahi kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari kupitia CHADEMA amejiunga Chama cha Mapinduzi (CCM).

Nassari alivuliwa ubunge Machi 2019 kutokana na kutohudhuria mikutano mitatu ya bunge mfululizo bila ruhusa.“Sababu kubwa iliyonileta CCM ni kwa kuwa naipenda nchi yangu.,“Haikuwa kazi rahisi kufanya haya maamuzi ya kuja CCM, yale yote mnayotaka kuyasikia na kuyaona kutoka kwangu mtayasikia na kuyaona hata kama sio leo, sababu kubwa iliyonileta CCM ni kwakuwa naipenda Nchi yangu”

“Ukiongea habari ya Ndege wapingaji wanasema nani anapanda?, mbona wakati wa Mwl Nyerere hamkusema Mwl unatupa Ndege hatuna hela ya kupanda,leo tuna Ndege 11, ile moja USD Mil 31, nimeingia Bungeni hatuna hata Ndege, unaachaje kumuunga mkono JPM!?”

View this post on Instagram

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari kupitia CHADEMA amejiunga Chama cha Mapinduzi (CCM). Nassari alivuliwa ubunge Machi 2019 kutokana na kutohudhuria mikutano mitatu ya bunge mfululizo bila ruhusa.“Sababu kubwa iliyonileta CCM ni kwa kuwa naipenda nchi yangu.,“Haikuwa kazi rahisi kufanya haya maamuzi ya kuja CCM, yale yote mnayotaka kuyasikia na kuyaona kutoka kwangu mtayasikia na kuyaona hata kama sio leo, sababu kubwa iliyonileta CCM ni kwakuwa naipenda Nchi yangu” “Ukiongea habari ya Ndege wapingaji wanasema nani anapanda?, mbona wakati wa Mwl Nyerere hamkusema Mwl unatupa Ndege hatuna hela ya kupanda,leo tuna Ndege 11, ile moja USD Mil 31, nimeingia Bungeni hatuna hata Ndege, unaachaje kumuunga mkono JPM!?” Full video tayari tumeiweka kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongo5 Written and edited by @el_mandle

A post shared by bongo5.com (@bongofive) on

The post Aliyewahi kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki Nassari CHADEMA, amejiunga CCM rasmi amshukuru Rais Magufuli (+Video) appeared first on Bongo5.com.