Aliyekuwa Meya wa Kinondoni Benjamen Kawe Sitta amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge jimbo la Kawe.

Sitta amesema alichokifanya ndani ya Manispaa ya Kinondoni ndicho kilichomsukuma kuomba ridhaa katika nafasi ya Ubunge.

The post Aliyekuwa Meya wa Kinondoni Benjamin Kawe Sitta achukua fomu ya Ubunge appeared first on Bongo5.com.