Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya muziki ya Kings music kupitia ukurasa wake wa Twitter ametangaza rasmi kwenda kufanya show katika mkoa wa Kigoma ambapo ni nyumbani kwao.

Alikiba anatangaza show ya pili tayari kwani alianza na mkoa wa Mtwara ambapo ataenda kufanya show hiyo mnano tarehe 07-08-2020 katika uwanja wa Nngwanda sijaona.

Baada ya kutangaza show hiyo ametanagza show nyingine ambayo ataenda kuifanya mkaoni Kigoma mnamo tarehe 31th July

The post Alikiba atangaza balaa la kufanya show Kigoma, aipa jina la ‘Mfalme arejea nyumbani’ appeared first on Bongo5.com.