Mhe Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa aliwakilishwa na msaidizi wake Fadhili Liwaka kwenye mazishi ya Mke wa Babu Tale, Shammy yaliyofanyika Mkuyuni, Mkoni Morogoro.

Liwaka alisema ametumwa na Mhe Waziri Mkuu kuja kutoa pole kwa ndugu jamaa kutokana na msiba huo mzito.

The post Waziri Mkuu Majaliwa kwenye msiba wa mke wa Babu Tale (Video) appeared first on Bongo5.com.