Wananchi wa kijiji cha Kimamba wilayani Kilosa mkoani Morogoro wamemuahidi Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao.

Profesa Kabudi ni mzaliwa wa Kimamba na alisomea kijijini hapo kabla ya kufaulu na kwenda Mzumbe.


Profesa Kabudi ametangaza nia kwa kusema...

Mimi narudia tena kusema kuwa mkoa wa kimkakati wa maendeleo ni Morogoro, hata Baba wa Taifa aliliona hilo na sasa hivi tuna kiongozi anayetaka mabadiliko

Mimi ni kijana wenu, mzaliwa wa hapa na niwaambie kuwa mkinihitaji kuwatumikia niko tayari


Prof. Palamaganda.jpg

Chanzo: Channel Ten