Wanafunzi waliochaguliwa kidato cha tano kuanza masomo julai 20
Leo June 26, 2020 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza kuwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano (2020), wataanza masomo 20/7/2020.
Kwa mujibu wa Wizara hiyo wanafunzi wa Kidato cha 5 watakaoripoti 29/6/2020 ni waliokuwa kidato cha 5 wakati shule zinafungwa Machi.