Jumla ya wanachama Milioni 1,023, 911 wa  @ccm_tanzania wamejitokeza kumdhamini Mwenyekiti wao Rais @MagufuliJP katika fomu za kuwania kupitishwa na chama hicho kugombea nafasi ya Urais kwenye uchaguzi mkuu. Julai 11, Mkutano Mkuu wa chama utakutana kumpigia kura.

The post Wanachama Milioni 1,023, 911 wa CCM wamdhamini Rais Magufuli kupitishwa kwa fomu ya Urais (+Video) appeared first on Bongo5.com.