Tayari safari ya kuusafirisha mwili wa mke wa Babu Tale, Shammy kwenda Morogoro kwaajili ya mazishi imeanza hapa Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Mwili wa marehemu uliwasili mapema asubuhi na kufanyiwa ibada na baada ya hapo safari ya kwenda Morogoro ikaanza.

Babu Tale alionekana akiwa anawafariji watoto wake katika kipindi hiki kigumu.

The post Vilio na majonzi vyatawala Babu Tale akiwafariji watoto wake (Video) appeared first on Bongo5.com.