Mmoja kati ya viongozi wa msanii Harmonize, Mjerumani amefunguka kuizungumzia kolabo ya wimbo Acha Lizame alioshirikishwa msanii wake na African Princess, Nandy

Mjerumani amesema kolabo hiyo ni kubwa na imekuwa na impact mitandaoni ndani ya muda mfupi.

Katika hatua nyingine amesema ili Harmonize aweze kufanya kolabo na msanii kuna vigezo vingi vya kibiashara vinaangaliwa pamoja na uwezo.

Kuangalia full interview tembelea YouTube ya Bongo5
Written and edited by @yasiningitu

The post Vigezo vya kufanya kolabo na Harmonize usipime (Video) appeared first on Bongo5.com.