VIDEO: Mashabiki Yanga Wamchoka Yikpe Gislain Baada ya Kutoka Sare na Azam
Baadhi ya Mashabiki wa Yanga waliojitokeza kushuhudia mchezo wao dhidi ya Azam Fc wameonyesha kukasirisha na kiwango cha Mshambuliaji wa timu hiyo Yikpe Gislain huku wakitaka aondolewa klabuni hapa.