Baada ya Diamond Platnumz kufikisha Views bilioni moja kwenye akaunti yake ya Youtube msanii na Rapper kutoka Mazese Madee amemtumia ujumbe huu:-One billion views for Almasi congratulations… naskia ndio mwafrika wa kwanza kutoka kusini mwa jangwa la sahara.. Tungekua na umoja tungekuandalia kahafla flani nakukukabidhi tuzo,lakini,,,,,!