Tumshauri Kijana Mwenzetu ADAM Mchomvu Achague A au B au C..."Unatengwa Huaminiki"
(Adam kijana mwenzangu umeanza CLouds fm siku nyingi sana lakini angalia jinsi ambavyo unatengwa. Angalia jinsi ambapo huaminiki.
XXL ni wewe ndiyo ambaye unaibeba..Kipindi cha Bongo fleva ulinyang'anywa siku nyingi tu..now amepewa kennedy. Utaendelea kuwa mtangazaji mdogo hadi lini. nI KIPI ambacho umefanya hadi usiaminike)

Adam wewe ni brand kubwa sana..Tatzo hujui tu au hawakuambii. XXL bila wewe inakufa., Muda ambao unatangaza XXL ni dk 30 tu likini wewe ni maarufu kuliko kipindi.

Licha ya wewe kumzidi kila kitu B12 utangazaji..creative..but host wa kipindi alikuwa B12..kwa hapa labda kwakuwa ulimkuta.
B12 kaondoka tulitegemewa utapewa wewe...wamempa kijana mdogo Kennedy..Kweli wewe wa kuongozwa na Kennedy. Yaani Kennedy unamzidi kila kitu.
umekuwa underrated sana brother, ona hata kwenye FIESTA ulikuwa mc tu...kila kitu alipewa B12..LEO HATA Kennedy anasauti kwako.

chagua yafuatao

a) hama hapo..nenda sehemu yeyote...wewe hamna anayekufikia bongo..hao wakina lommy, b12, sam hamna anayeweza hata kwa nusu yako. Nenda radio zingine ukapate changamoto zingine.
au
b) fungua youtube yako/hapo mjengoni unafanya kazi muda mchache..fungua youtube utakuwa unawahoji wasanii mbali mbali..kwa jina lako wewe youtube itafika 500k miezi 3 tu/...wote wanafanya..b12, salam, sns.. youtube yako ya mziki ifanyeiwe ya habari...

au
c) Achana na mziki unakupotezea muda.

Adam upo underrated sana..Tanzania hii hakuna mtangazaji anayejua kutangaza redioni..stejini..km wewe..
Ondoka hapo..watoto wadogo watakudharau. sepa