Msanii wa Muziki Timbulo ameeleza anaumia sana kutomsikia msanii wa muziki Rich Mavoko ambaye yupo kimya kwa kipindi cha miezi sita. Muimbaji huyo alianza kuwa kimya toa aanchane na label ya WCB na kutokea mgogoro wa kibiashara ambao unadaiwa kuwa ndio uliomsababisha akawa kimya.

The post Timbulo: Naumia kutomsikia Rich Mavoko, yule ndiye alama ya BongoFleva (Video) appeared first on Bongo5.com.