TANZIA. Mke wa meneja wa Diamond, Babu Tale anayefahamika kwa jina la Shammy amefariki Asubuhi ya leo june 28,2020 akiwa Hospitali ambapo alikuwa amelazwa.

Taarifa kamili kukujia hivi punde

Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un

The post TANZIA: Mke wa Babu Tale, Shammy afariki dunia appeared first on Bongo5.com.