Baada ya Mbunge wa Geita Joseph Kasheku Musukuma kuomba Mh. Freeman Mbowe arudishwe Dodoma yeye atamjibu kienyeji na kudai kwamba asipopona ndani ya siku 3 avuliwe Ubunge.

Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano Ndg.Job Ndugai ametoa taarifa kuwa baada ya Mbowe kupelekekwa Hospitali yeye alituma madaktari wake na kwa ajili ya kumpima na kukuta Mbowe alikuwa amelewa.

The post Taarifa ya Spika Ndugai Bungeni “Nilituma madaktari Mbowe alikutwa amelewa chakari” – Video appeared first on Bongo5.com.