Ubalozi wa Marekani umestushwa na kuhuzunishwa sana na tukio la kushambuliwa kwa Mbunge na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe hapo tarehe 9 Juni.