“Baadhi ya Wachungaji waliomo humu bungeni kama rafiki yangu Msigwa, akisimama humu bungeni anaropoka sana. Unamwangalia mtu kwa yale unayoyajua unatamani utoke na ukitoka sijui ataweka wapi sura yake maana ni mchafu kabisa astahili kuitwa mchungaji.

Sijui wamezaliwaje watu, hawezi kujiona alivyo na mapungufu tena mengine anajua najua” Job Ndugai-Spika wa Bunge.

The post Spika Ndugai “Msigwa hastahili hata kuitwa mchungaji maana ni mchafu, Sijui wamezaliwaje watu” – Video appeared first on Bongo5.com.