BAADA ya miezi mitatu mirefu – Hatimaye soka linarejea Hispania! Kila mechi ambayo itachezwa kule Hispania wakati ligi ikiendelea itaacha kwa ukimya wa dakika moja kuwakumbuka wahanga wote waliopoteza maisha yao kwenye janga la virusi vya corona, na pia hakutakuwa na mashabiki na masharti yote ya msingi ya afya yatazingatiwa.

Kuanzia wiki hii, mpira utadunda kwenye viwanja vya Hispania karibu kila siku, hivyo ni wakati muafaka wa kushiriki mchezoni na kujipatia pesa na ofa kabambe za kubashiri kutoka Meridianbet!

Kuna raundi 11 zimesalia hadi kumalizika kwa msimu wa La Liga, na kurejea kwa msimu kunaanza kwa Sevilla kuchuana dhidi ya Real Betis. Dabi ya Seville ni dabi pendwa zaidi na mashabiki, lakini Betis akiwa anatokea nje kabisa -hatuna shaka kuhusu nani ataondoka na pointi zote 3 mezani. Meridianbet inathamini ushindi wa nyekundu na nyeupe –wa Sevilla kwa odds nzuri ya 1.95 akishinda. 

Mechi inayongojewa kwa hamu zaidi ni ya Barcelona na Real Madrid, wanafahamika kuwa wapinzani wakubwa sana wa wakati wote wakikutana uso kwa uso kuwania taji. Nafuu ndogo wamepewa Barcelona, wanaoshikilia taji na mabingwa watetezi. 

Baada ya raundi 27 kuchezwa, Barcelona wapo kileleni wakiwa na pointi 58, lakini usiwadharau Real Madrid wanaofukuzia taji wakiwa nyuma kwa pointi 2 tu.

hawawezi kucheza mechi zilizosalia za nyumbani kwenye uwanjwa wao wa Bernabeu –kwa sababu uwanja upo kwenye matengenezo. Uwanja wa mda wa nyumbani wa hawa "Royal Club" si mwingine zaidi ya Alfredo di Stefano unaochukua watu 6000. 

Inabakiwa kusubiriwa namna timu kubwa kama Real Madrid itaweza kutumia mazingira ya kawaida Jumapili wanapomkaribisha Eiber. 

Odds safi za 1.66 kama ushindi wa 'Kings' utapatikana kwa magoli 3 au zaidi kupatikana kwenye mechi hii, hivyo hautakiwi kuumiza kichwa hapa. Mtihani wa kwanza wa Barca baada ya likizo utakuwa Jumamosi wanaposafiri kwenda Mallorca.

Kwa nyongeza ya ofa za kawaida unazozitarajia, Meridianbet imekuandalia machaguo tofauti zaidi ya 800 kwa ajili yako kufanya ubashiri. 

Asili imekuwa muhimu, na soka limerejea kwenye nyumba zetu na mioyo yetu hivyo tumia vyema wakati huu. Jisajili na meridianbet.co.tz na upate 5% ya bonasi kwenye kila muamala wa kuweka pesa kwa kutumia Airtel, Tigo au M-PESA. Kumbuka, tiketi yako ya kwanza daima ni ushindi ukiwa na Meridianbet.