Afisa Habari wa klabu ya Ruvu Shooting amesema kuwa wataifunga Simba SC hii leo kwa mfumo wa ‘Papasa Square’ bila huruma hasa kutokana na kikosi cha kujaa vijana wengi ukilinganisha na wapinzani wao ambao wao wamejaza wazee.

The post Simba wazee wengi, tutawafunga kwa papasa square – Masau Bwire (+Video) appeared first on Bongo5.com.