”Kutokana na hali ya ugonjwa wa Corona nchini kuendelea vizuri, na kwakweli imepungua sana napenda nitumie nafasi hii kutangaza kwambakuanzia tarehe 29, nafikiri itakuwa Jumatatu mwezi huu wa Juni Shule zote zifunguliwe zilizokuwa zimebaki, shughuli zingine zote ambazo tulizizuia, watu kufunga ndoa, tumewachlewesha watu kuoana wakati nazo ziendelee, maisha ni lazima yarudi kama ilvyokuwa zamani, hata hivyo naendelea kuwasihi Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari.”- Rais Magufuli
The post Shule zote zifunguliwe tarehe 29 mwezi huu – Rais Dkt John Magufuli (+Video) appeared first on Bongo5.com.