Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @mbosso_ aliungana na Producer anayetengenezaga ngoma zake nyingi @moccogenius na kuweza kushare vitu vingi sana ambavyo mashabiki hawavifahamu.

Ushawahi kufikiria kuwa @mbosso_ ana uwezo mkubwa sana wa Kuchana licha ya nyimbo zake nyingi unazoziona?? Shuhudia @mbosso_ akipiga Freestyle yake
Pia @moccogenius ametutonya kuwa @mbosso_ ni msumbufu sana linapokuja suala la kuingiza sauti Studio.

Katika Party yake hii @mbosso_ ameahidi kumzawadia Perfume.

 

The post Shuhudia Mbosso wakitaniana na Producer wake Mocco kwa Kiingereza, Apiga Freestyle asema yeye sio kuimba tu – Video appeared first on Bongo5.com.