Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili, Sheikh Shariff amefunguka kuzungumzia Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambao utafanyika October 2020 ambapo katika utabiri wake amedai Wabunge ambao watarudi Bungeni hawazidi 50. Amedai Bunge lijalo litakuwa na vijana wengi ambao wataendana na kasi ya Rais John Pombe Magufuli.

The post Sheikh Shariff afunguka mazito uchaguzi ‘Wabunge wataorudi Bungeni hawazidi 50’ (Video) appeared first on Bongo5.com.