Mwinjilisti wa Kanisa la Anglikana mtaa wa Bomani Wilayani Sengerema, Mkoani Mwanza, Samweli Josia (30) adaiwa kumuua mke wake, Shangwe Kababa kwa kumchoma na kisu tumboni pamoja na kumkata titi moja na kisha kujiua kwa kujichoma na moto akiwa amejifungua ndani ya nyumba yake.

Chanzo cha tukio hilo bado hakijafahamika.

The post Sengerema: Mwinjilisti amuua mke wake kwa kumchoma kisu na yeye kujichoma moto – Video appeared first on Bongo5.com.