Producer anayefanya vizuri kwa sasa Tanzania ambaye alitengeneza beat ya ngoma ya #quarantine ya WCB wakimshirikisha @diamondplatnumz ameeleza wazo lilivyokuja.

Mbali na hilo @s2kizzy ameeleza kufurahi kuendelea kufanya kazi na @diamondplatnumz kwani anafanya vizuri kimataifa huku mkono wake ukiwepo katika baadhi ya ngoma. “Awamu hii @diamondplatnumz tutampeleka namba moja katika chat za @billboard “

Kuhusu suala la yeye kusainiwa katika lebo hiyo amesema kila Producer anatamani kufanya kazi na Wasafi hivyo kama itatokea kweli atasainiwa kwake safi tu. @s2kizzy ametutonya kuhusu Collabo ya @diamondplatnumz na @wizkidayo huku akiweka wazi kuwa mkono wako ndio umehusika.