RC MAKONDA ARUHUSU DALADALA KUSIMAMISHA WANAFUNZI 4 > Amesema kuanzia leo Juni 2, 2020 daladala zianze kupakia Wanafunzi 4 watakaosimama na amewataka Askari wa Usalama barabarani kutozikamata daladala hizo > Aidha, agizo la daladala kubeba 'level seat' bado halijatenguliwa