“YAANI KIPIGO CHA MWIZI WA POWER WINDOW KIWE SAWA NA MWIZI WA DREAMLINER”

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Pual Makonda amewataka wananchi kuwachunga watoto wao kwani kuna wimbi la vijana waporaji pamoja wanaoiba vifaa vya magari ambalo limeuka hivi karibuni.

Akizungumza na wakazi wa wilaya ya Temeke katika ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo, RC Makonda amesema matukio ya wizi mdogo mdogo wa vitu kama power windows yameongezeka ambapo jijini amemtaka Kamanda wa Polisi kuhakikisha hali inakuwa sawa..wezi wapiwe kipigo cha uhakika haijalishi ameiba Tecno au Iphone kipigo kinatakiwa kifanane