Katika birthday party ya producer @moccogenius wameweza kuhudhuria mastaa mbalimbali wakiwemo baadhi ya Maproducer wenzake akina @s2kizzy @abbah_process na wengineo.

Wameweza kutengeneza beat moja la ngoma na wasanii kama @officialnandy @gnakowarawara @rayvanny @marioo_tz na @kingbiboclimax wapendekezwa kukaa katika ngoma moja.

The post Rayvanny Nandy, Gnako na Mario wachaguliwa na Maproducer kuimba katika wimbo mmoja, Baada ya kutengenezewa beat – Video appeared first on Bongo5.com.