Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @rayvanny alipata nafasi ya kuimba mistari ya ngoma ya DODO ya @officialalikiba na kusema kuwa hiyo ndio ngoma yake pendwa kutoka kwa @officialalikiba
Mbali na hilo @rayvanny aliylizwa endapo atapewa nafasi ya kuwa follow mama mtoto wake @fahyma19 na aliyekuwa mtu wake wa karibu @rashdonboss atamfollow nani amesema haya.

 

The post Rayvanny alivyoimba DODO ya Alikiba na kusema ndio wimbo wake bora – Video appeared first on Bongo5.com.