Hayo ni Maneno ya Mashabiki Yanayo Zungumziwa Sana Katika Mitandao ya Kijamii, Ikisema Kwamba Leo Hii Rayvanny Akisema Atoke WCB Wasafi, Hatoweza Kujisimami Yeye Mwenyewe Katika Swala Zima la Muziki Kama Alivyo Weza HarmonizeTz.

Je? Swala Hili Lina Ukweli Wowote? Tuambie Hapa Tafadhali.