Msanii wa muziki kutoka WCB @rayvanny amekanusha tetesi za kwamba anataka kuondoka katika lebo WCB ambayo imeibua kipaji chake.

Akizungumza katika BigSundayShow ya Wasafi TV, Rayvanny alijibu swali la shabiki ambalo lilimtaka aeleze ni lebo gani anaweza kwenda akiondoka WCB.

View this post on Instagram

RAYVANNY AULIZWA NI LEBO GANI ANAWEZA KUHAMIA AKIONDOKA WCB ? “NILIPOFIKIA NAWEZA KUANZISHA LEBO HATA TANO” Msanii wa muziki kutoka WCB @rayvanny amekanusha tetesi za kwamba anataka kuondoka katika lebo WCB ambayo imeibua kipaji chake. Akizungumza katika BigSundayShow ya Wasafi TV, Rayvanny alijibu swali la shabiki ambalo lilimtaka aeleze ni lebo gani anaweza kwenda akiondoka WCB. “Before sijaongea chochote VannyBoy Wasafi For Life Baby,” alisema Rayvanny Aliongeza “Lakini pia ngoja nikujibu swali lako, nakushukuru uongozi wangu wa WCB, namshukuru Diamond Platnumz kwa sehemu niliyofika naweza kuwa na label hata tano hakuna njia mimi kuwa chini ya lebo labda niwe na lebo kumi,” Kwa sasa muimbaji huyo ni msanii mwenye mafanikio makubwa kwenye muziki ndani ya lebo ya WCB uliachana na Rais wa lebo hiyo, Diamond. Written @yasiningitu 🎥by Wasafi.

A post shared by bongo5.com (@bongofive) on

“Before sijaongea chochote VannyBoy Wasafi For Life Baby,” alisema Rayvanny

Aliongeza “Lakini pia ngoja nikujibu swali lako, nakushukuru uongozi wangu wa WCB, namshukuru Diamond Platnumz kwa sehemu niliyofika naweza kuwa na label hata tano hakuna njia mimi kuwa chini ya lebo labda niwe na lebo kumi,” Kwa sasa muimbaji huyo ni msanii mwenye mafanikio makubwa kwenye muziki ndani ya lebo ya WCB uliachana na Rais wa lebo hiyo, Diamond.

Written @yasiningitu 🎥by Wasafi.

The post Rayvanny ajibu swali ni lebo gani ataenda akiachana na WCB? (Video) appeared first on Bongo5.com.