Bodi ya ligi kupitia kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya ligi Tanzania Bara, ndugu Almasi Kasongo ametangaza michezo ya awali itakayoanza tarehe 13/06/2020.

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Tarehe 13/6/2020 

Mwadui FC vs Yanga SC Uwanja wa Kambarage saa 10:00 mkoani Shinyanga

Coastal Union vs Namungo Uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga

Tarehe 14/6/ 2020

Simba SC vs Ruvu Shooting Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, haujapangiwa muda

Azam FC vs Mbao FC Uwanja wa Azam Complex  jijini Dar es salaam saa 1:00 usiku

The post Ratiba ya ‘Games’ ligi kuu, Simba na Azam kuanzia Dar, Yanga kuwafuata Mwadui Shinyanga (+Video) appeared first on Bongo5.com.