“Tatizo hili (la migogoro Arusha) lililetwa na Mkuu wa Mkoa Arusha(Gambo) anazungumza hivi huku, anazungumza hivi kule lengo ni kuonekana yeye ni mzuri sana, tusitoe ahadi ambazo haziwezekani lazima tusimamie Sheria, RC, DC msiende kuingia kwenye matatizo”

The post Rais Magufuli: Tatizo la migogoro Arusha lililetwa na mkuu wa mkoa, Anataka aonekane yeye mwema sana (+Video) appeared first on Bongo5.com.